Tenda wema nenda zako shkrani hakuna,kama haujui ukipandacho ndicho utakacho kivuna...
na usiogope kaza macho kwa usicho kiona... shida matatizo sio sababu tusirudi nyuma...
mengi yana tokea mengi yana jongea yote tuyasahau na tuishi kama pea hiz salaam zangu
kwenu na Every way leo ni muhimu na kesho ina jongea.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni