Jumatano, 4 Septemba 2013

KUMBE UKIMCHANA MADAM RITHA KWENYE NYIMBO ZAKO UKIKUTANA NAE MNAPIGA PICHA-UNDERGROUND

Top Talent

SNASHI akiwa na dogo aslay

Katika nyakati tofauti Wadau na wapenzi wa BONGO STAR SEARCH wamekichukulia tofauti kitendo hiko cha madam kulifumbia macho swala hilo la kutiwa dosali katika mchakato wake wa BONGO STAR SEACH, Kiukweli madam amekosea sana kumuachia huyu kijana anapoelekea sio pazuri anaimba imba nyimbo za kutukana viongozi halafu anaachiwa siku atakuja kumtukana rais wa nchi mana alishawahi kumtukana mpaka mama yake aliemzaa kwenye nyimbo, Alisema LIVINSTONY NKOI mdau wa muziki tanzania

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent