Jumamosi, 10 Agosti 2013

Mtua Records Top Talent Music Production Iliyopo Ukonga Madafu

Top Talent
Hii ni kwaajili ya wasanii wa kizazi kipya wanao fanya mziki wa Rap, kama una jijua wewe ni mkali na unaweza, kaa tayari kwa sindano la kutafuta mkali wa kitaa ambaye atapata nafasi ya kurecord nyimbo pamoja na kufanyiwa video yake chini ya Usmamizi wetu-ili kupata nafasi ya kushiriki,
Itakubidi kuchukua form kutoka sehemu usika pindi zitakapo anza kutolewa, form zitapatikana sehemu zifuatazo
-Ukonga Mtua Records sehemu ambapo studio ilipo kwa mawasiliano piaga no +255686000026
-Quality Center Mahali ambapo zilipo Office za Spanco kwamaelezo zaidi piga +255783650475
Ukonga Mzambarauni Shemshiz Club ilipo kwamawasiliano piga +255782599009
pia waweza kutuma maoni yako kupitia mtuarecord@gmail.com
vile vile waweza kupata form ya kushiriki kwenye shindano kwa kununua form kupitia mitandao ya simu kama
Tigo pesa-Airtel Money-M-pesa.
 
TEL: +255 783 650 475
+255 714 846 090

MAIL: mtuarecord@gmail.com

Facebook Page: Mtua Reords 
Instagram:
Twitter: Mtua Record
Skype:mtua.mwaisaka
Youtube: Mtua Record
Soundcloud:
Hulkshare: Mtua Record
WhatsApp: +255782599009
BBM Pin: 220fb8aa{BlackBerry Messenger}
Viber
+255686000026

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent