Jumatatu, 26 Agosti 2013

ARTIST AMBAE ANA KUJA JUU KWA KASI NA AMEKUWA TISHIO KUBWA HAPA JIJINI UNCEL SOME YUKO NJIANI KUACHIA VIDEO YAKE' AONGELEA MAANA YA MWANAUME SURUALI JE UME MUONA.....?

Top Talent

Camera za mnasa msanii Uncle Some akifanya  video yake mpya "NIME MWONA" Pande za toun na tuli pata nafasi ya kuongea nae mawili matatu na hivi ndivyo alivyo funguka..... "Najua watu wengi wana tamani kujua nn maana ya Mwana ume suruali.. Mwana ume suruali anaweza kuwa mwanaume yeyeto yule ambae hajui wajibu wake kama mwanaume.. Je! ume muona mwanaume suruali.......? Itafute video yake.......


Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent