Alhamisi, 11 Julai 2013

Top Talent inatoa pole kwa msanii Prof Jay Kwakumpoteza Mama yake Mzazi kwenye ajali ya gari

Top Talent




Ilikuwa majira ya saa 1 usiku ndipo tulipopata habari ya ajali ya mama maeneo ya Mbezi mwisho akitokea nyumbani kwa Prof Jay anapoishi nae akielekea dukani. Wakati anarudi nyumbani akivuka barabara ndipo ajali hiyo ikampata na kuhaishwa hosp ya Tumbi hadi mauti kumkuta. Mungu ailaze roho ya marehemu Amen {DJ CHOKA}

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent