Jumatano, 3 Julai 2013

MAKALA: IN BETWEEN,Story- Adili Matontu (Tanzania) FILAMU YA MTANZANIA YA KIMATAIFA KUHUSU HAKI ZA BINADAMU

Top Talent
Hebu pata picha ya kwamba wewe ni mfanyakazi katika shirika ambalo mnahudumia watu waliopoteza makazi kutokana na machafuko ya ndani. Na kazi yako inahusika kuwafanya waishi wwaishi kwa usalama, na waendelee kama watu wengine wenye makazi.

Lakini hali inabadilika kutokana na ugumu wa kazi yenyewe, baada ya vikundi vidogo vidogo vya waasi vinaposhambulia maeneo ya watu na kuwatesa, na katika kuwatesa huko, wewe una kiapo cha kutetea haki za binadamu, na hivyo kazi yako inaiweka roho yako hatarini.

 Uzuri wa maelezo haya unahitimishwa pale unapoambiwa kuwa hii ni filamu ya kimataifa ambayo muandaaji mkuu (executive producer) ni Mtanzania, na timu aliyokusanya kufanya kazi hii ni ya viwango vya juu. Ngoja tuipitie kidogo filamu hii ambayo imetengenezwa kutokana na matukio ya ukweli yaliyotokea.
 Story- Adili Matontu (Tanzania)

Screen Play- Emeka Amakeze (Nigeria)

Director - Pascal Amanfo (Ghana)

Produced- Nkechi Destiny (Nigeria)

Executive Producer- Adili Matontu (Tanzania)

Kwa watu ambao wamezoea bongo movie, basi hapa kuna kitu ambacho watajifunza, kuhusu ushirikiano na ubora wa kazi. Kazi hii imeandikwa na kutayarishwa na Mtanzania Adili Matontu, ambapo ameshirikisha vipaji mbalimbali kutoka Afrika na Ulaya.

'Plot' ya filamu hii iko kama ifuatavyo kwa kiingereza;

Synopsis

Mathew leaves a heavily pregnant wife behind. Chioma leaves a concerned fiancÃĐ and family members behind too. And in the company of other Help International (NGO) aid workers, set out on a journey to bring succour to internally displaced people in a war torn country.

Faced with the danger of uncertain death in the hands of fighters, Mathew leads his team of humanitarians through thick and thin to find those trapped behind battlefields and war zones and to offer assistance to those in need.
The daunting task of finding their way around without communication equipment which they had lost in an ambush is paled in the face of the horrible experience of watching helplessly as the internally displaced people they came to help starve to death because they could hardly provide for them. They are faced with the fear of imminent revolt by the refugees who are growing desperate as the days go by. Kitridge, dedicated international humanitarian aid workers plays major role in the lives of refugees against violence and ensure calmness in the camps.

And when they think it cannot get any worse, they are marked for extermination by a group of child soldiers led by a ferocious soldier who thinks nothing of taking innocent lives, due to the prevailed circumstances and the fact that they were brain washed.

The innocent Kofar, who watched his parents killed by rebel groups, later joined the rebel group out of frustration and he became a deadly rebel soldier. On the other hand, Akila, Kofar’s sister, despite all odds, she dedicated all her life to become a humanitarian worker taking care of the sick and help to the refugees and internally displaced persons

And with the option of either saving their own lives or risking everything in the discharge of their duties as humanitarians with a view to successfully taking the refugees to a safe refugee camp, the ethics of their profession as humanitarians are called to task.

But against all odds, Mathew and his team, believing that being charitable is a call that requires extra dose of determination decides to be heroes dead or alive; for the sake and welfare of vulnerable refugees.

The movie is based on a true story; it was filmed in Nigeria, featuring international actors and actress, produced by Nkechi Destiny O and directed by a multi award winning film director Paschal Amanfo.
***
Kwa hakika namna hii, huko tunakoelekea kuna Nuru, maana production za viwango kama hivi, hapana shaka zitabadili wengi kutokana na uhalisia wa mambo yanayotengenezewa filamu.

Unaweza kuwasiliana na muandaaji mkuu wa filamu hii, bwana Adili Matontu kupitia mtandao wake wa youtube,, ama kupitia barua ya pepe ya Gospel Kitaa naye atarejea kwako na majibu.

 Picha zote kwa hisani ya kampuni ya AD Events Production Limited, na kupitia 'trailer' ya video iliyoko ukurasa wa youtube.

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent