Jumanne, 30 Julai 2013

Download | Joe Makini & Nikki wa Pili - Bei ya Mkaa Audio

Top Talent
Joh Makini Vs Nikki Wa Pili - Bei Ya Mkaa, Download Na Sikiliza Na Pata Habari Kuhusu Wimbo Huu Hapa.
 Nilikufahamisha kupitia Twitter account yangu ya @sammisago kuwa Nikki wa Pili na Kaka Yake Joh Makini wamefikia uamuzi wa kurekodi na kukamilisha album ya pamoja ilikujibu lile swali la nani mkali kati yao.
Ni swali lililoulizwa kwa muda mrefu toka Nikki Wa Pili Anatoka wakati Joh Makini alikuwa tayari mtaani aki Shine kama solo artist. Well tayari wamesha rekodi baadhi ya single kwenye album hio na ndio inaelekea kukamilika. Album itaitwa Joh Makini VS Nikki Wa Pili

Hii Ndio Single yao Mpya Inaitwa Bei Ya Mkaa On Mtua Records

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent