Jumatatu, 10 Juni 2013

Salamu Za MOKO WA MIUJIZA Ndani Ya “DOLE LA KATI” … Check Hapa …

Top Talent

Few hours ago, rapper One The Incredible [Moko Wa Miujiza] ameshusha baadhi ya mistari katika moja ya social networks anzotumia … Bars hizo ambazo inaonekana zitakuwemo kwenye track yake itakayofuata ambayo itafahamika kama DOLE LA KATI zipo kama hivi ;
SALAMU FM YA WANOKO/
MOKO NI CHEMCHEM KWENYE SOKO/
PELEKA FAME GAME KWA WATOTO/
WAPENDA MADEM,MAPIMBI/
MOKO NI MSHINDI KILA KIPINDI KWENYE GAME NYIE MACHOKO/
One ana-address nini katika hii ?? DOLE LA KATI … I guess mimi na wewe we should wait for this one … WANOKO, MOKO, SOKO, WATOTO, MACHOKO , Hahaa… Vina all over this one … DOLE LA KATI Nigga !!!
Moko ni msanii mkali sana kutoka Tanzania kwa sasa wanaofanya music aina ya HIP-HOP akiwa na Lundunos … One yuko na video yake ambayo he recently released “GET EM” aliyofanya na Dir. Osse Sinare … you should check out …

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent