OMMY DIMPOZ AFUNGUKA JUU YA STORY INAYOMUHUSU GAZETI LA IJUMAA
Top Talent
Omary Faraji Nyembo @ommydimpoz now
Nilipigiwa simu Ya kibiashara kwa ajili ya kufanya show na global publishers kwasababu Hatukuhafikiana kwenye malipo ndo wameamua kunichafua Asema Ommy Dimpoz
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni