Moto ni ule ule' mapenzi yale yale, Huduma pale pale watu wanaumia. Mto ni ule ule, kupendwa kule kule wanao sema wale wale sasa wanaumbuka' Mjungu yale yale fitina zile zile udaku ule ule tumekwisha zoea' wapambe wale wale na kero zile zile..... michongo kule kule-: shika kamba jinyonge'

Maoni 1 :
Moto ni Ule Ule,
Chapisha Maoni