Jumanne, 18 Juni 2013

ADAM MCHOVU ADAIWA KUTUPIA PICHA ZA UCHI ZA LADY JAYDEE.....WANANCHI WACHACHAMAA NA KUMSHAMBULIA VIKALI MTANGAZAJI HUYO!

Top Talent
Kutoka facebook muda huu Acc ya Adam Mchomvu imepost hivi nanukuu " Picha za uchi alizopiga Lady Jay D bofya hapa" then akaweka link, ambayo binafsi sijaielewa na sikuona umuhimu wa kuifungua.

Account hii inayotumia jina la Adam Mchomvu sijajua kama ni yake ama fake ..

Na kama ni yake sijajua kama wame hack wakaandika au ameandika yeye mwenyewe






Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent