Top Talent
Piga kelele Omba Msaada kwa Majirani, Nchi Ni Nyumba Iliyo Chomwa Na inawatu ndani
"Fbi wanakuja kufanya nin tz? Tunatengenezewa adui bandia? Hatuna udini, tunarasilimali inabidi tupigane il wazichukuwe kirahis amka tanzania..tunakula maulidi,xmas,kipaimara,harusi,tumesoma pamoja,tunaishi pamoja, tunakuwa wapenzi wala hatujawahi kuwaza huyu dini gani..Hatuna udini tuna RASILI mali, tutachafuliwa kama Nigeria,sudani,somalia,syria,iraq,kongo....lengo. nikuibiwa rasilimali zetu kama hamjui"
TUKISIMAMA KWA PAMOJA HAWATOWEZA KUTUGAWA.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni