Msanii wa Hip Hop nchini Tanzania anayetokea mkoa wa Arusha "JCB" usiku wajana kuamkia leo kule Arusha ilikua sherehe ya harusi yake ambayo harusi hiyo waliifunga wiki kadhaa huko nyuma, sasa leo ndio ile sherehe yenyewe ambayo inafanyika pande za BOT iliyopo kule Arusha. Pichani ni JCB akiwa na mke wake anayeitwa Diana Jorgensen pamoja na wasimamizi wao


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni