"Unajua Mungu yupo kwanini una beba hirizi...? Vp unakosa usingizi kwa maendeleo ya frani....?
Unampinga mpaka Mungu hivi una jihisi we ninani...?"
wengi tulikua nao leo hawako tena mtaani...
Uhai wa mgao kwenye kizazi cha shetani' waumini ndio Maibilisi mwizi bosiwake polisi.. Tatizo la wana siasa love kwenye Campen wakisha pata wanaleta people get pain......Kwamungu kuna madeni Mama alisema nisifate dunia ime beba mengi.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni