Producer Pancho Lation kutoka Bhitz katika Account yake ya Facebook leo amepost kitu ambacho alikuwa akijiuliza maswali na bila kupata majibu yake.
NANUKUU>>>
"Hiv hizi Top 20 na 10 za radio station mbali mbali zinabase kwenye nyimbo za aina gani manake kwa mimi hata sielew coz kuna vipaji kibao mtaani vinaachia ngoma kali na haziwekwi kwa hzo chat zaidi utasikia ngoma za viduku tu. For me sioni faida ya hzo chats kama zinashindwa kuingiza atlist nyimbo moja kwa wiki ya msanii mchanga mwenye ngoma kali.Hate it or love it#Truth"

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni