Habari Zetu Tz
Kila kilicho moto, tunakuletea kwa wakati. ðĨ
Jumamosi, 30 Machi 2013
MSANII ANAPO AMUA KUBADIRIKA'
Top Talent
Kiduku Bassssss!!
Ikiwa imepita wiki moja tu tangu picha za muonekana mpya wa Bob jr kusambaa, akiwa amepaka rangi nywele hasa hasa kwenye kiduku, leo hii pia amanitumia picha za muonekana wake mpya kwa mara nyingine tena akiwa amekata nywele zote. sijui inawezekana akawa anaanza kupitia process ya kukua au ndugu wamemshauri hivyo maana bado anaendelea kupiga show zake nchi ambayo baba yake na wadogo zake wanaishi. leo hii Jr yupo Denmark, kesho atakuwa Norways kwenye show ambayo alitakiwa kupiga Ommy Dimpoz na baada ya hapo ataelekea Swizerland siku ya jumapili na kukamilisha show zake zote.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Layout
Mtua Studio- Photo Shoot
Top Talent
Nash mc mkali!..usipagawe usichachawe yote kapanga manani!
Top Talent
60 - Mic nadaka - Snoop Lee Feat Mr Blue [BongoUnlock]
Top Talent
DOGO S KIDE DIAMOND KABLA HAJATOKA
Top Talent
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni