Jumanne, 18 Juni 2024
Jumanne, 7 Mei 2024
Ijumaa, 3 Mei 2024
KUMBU KUMBU YA SARAH LUTHER GELEGE. NATAMANI UNGE KUWEPO LABDA KUNA MAMBO YANGEKAA SAWA...
Top Talent
Leo mama yetu mpendwa imetimia miaka 13 kamili tangu uitwe na MUNGU.
Kwakweli ni ngumu kuzoea kuishi bila wewe lakini tunamshukuru sana sana MUNGU kwani anazidi kutupigania na kututia nguvu kwani ndio tegemeo letu. Pengo uliloliacha kamwe halitozibika kwani tunakumbuka ucheshi wako na juhudi zako na ushauri wako katika kupambana na maisha na tuliona juhudi zako mama!!
Unakumbukwa sana na wanao Luther(Mtua), Lamson(Ipyana) na Ruth. Pia unakumbukwa sana na wajukuu zako Unakumbukwa sana pia na dada zako,kaka zako,wadogo zako,wifi zako,shemeji zako,wajukuu zako,
watoto zako,wakwee zako,ndugu,jamaa,majirani na marafiki kwakweli wanakumiss sana!!! BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE!!!!.
Jumatatu, 18 Machi 2024
Ijumaa, 19 Januari 2024
Alhamisi, 14 Desemba 2023
Jumatano, 22 Februari 2023
Alhamisi, 7 Aprili 2022
Jumapili, 13 Februari 2022
Jumapili, 28 Novemba 2021
Jumatano, 10 Novemba 2021
Jumatano, 27 Oktoba 2021
Ijumaa, 10 Septemba 2021
Jumatano, 8 Septemba 2021
Jumamosi, 7 Agosti 2021
Jumatatu, 14 Juni 2021
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)



























